Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba amelazimika kusafiri mpaka Morogoro baada ya kuripotiwa kwa taarifa ya ishu ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji, mtu mmoja amefariki, wengine wamejeruhiwa wakiwemo Askari Polisi pia.
Chanzo cha mgogoro huo kimetajwa kuwa ni ishu ya mfugaji mmoja kulalamikiwa kuingiza mifugo kwenye shamba la mkulima mmoja na kutokea ugomvi huo mkubwa kati ya wakulima na wafugaji.
kwa taaarifa zaidi tutakujuza kadri tutakapo zipata
0 comments:
Post a Comment