Mpango mkakati, mbinu na silaha alizonazo ni nyenzo tosha zitakazomfanya aendelee kuwa na uhakika wa kubaki kileleni kwa kipindi kirefu.
Masaa machache baada ya kuachia wimbo/video mpya ‘Utanipenda’ ambayo imekuwa gumzo kubwa kutokana na kupokelewa vizuri, Diamond amepiga ‘mkwara mwingine’ kwa kupost screenshot ya video nyingine inayomuonesha akiwa juu ya gari na mrembo wakiwa na mavazi meupe huku ameshikilia mtutu.
…
0 comments:
Post a Comment