Comments


MOURINHO AFUNGUKA

Mocha wazamani wa chels aliyetimuliwa Mara baada ya kusuasua kwenye ligi kuu england akiwa na klabu ya Chelsea Jose mourihno amefunguka na kuuandikia uongozi wa unitedi barua ya kuwafahamisha kuwa yeye Ana mipango dhabiti ya kufanya united itoke katika haliiliyopo kwa sasa
Mourinho amesema kuwa anamatumaini makubwa ya kuifundisha united.
Kocha wa united kwa sasa Luis vangal yupo katika wakati mgumu kwani timu yake haina Matokeo yakuridhisha  na Jana imepoteza mchezo wake dhidi ya southomtom katika uwanja wake wa oltraford  kwa kukubali kufugwa bao1-0
Hivyo kuwafanya united kubakia nafasi ya 5 wakiwa na point zao 37

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system