Comments


Ashley Cole ajiunga na klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani



Welcome-Ashley-DL[1]
Mchezaji wa zamani wa Uingereza Ashley Cole amethibitisha kujiunga na LA Galaxy ya Major League Soccer nchini Marekani.

Welcome-Ashley-DL[1]Baada ya kutofanya vizuri na klabu ya As Roma ya Italia, Cole anaungana na akina Robbie Keane na Steven Gerrard kwenye klabu ya Los Angeles.

Cole, ambaye aliwahi kuzichezea klabu za Arsenal na Chelsea kabla ya kutimkia Rome, alicheza mechi 11 katika miezi 18 klabuni hapo, na msimu huu haja cheza hata mechi moja
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system