Comments


PATA SHIKA NGUO KUCHANIKA EPL.ARSENAL VS CHELSEA

Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa
kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kumi
baada ya mapumziko kupisha Mechi za FA.
kesho jumamosi jumla ya michezo nane itapigwa
katika viwanja mbalimbali ambapo mechi hizo ni
,Norwich city vs Liverpool,
Crystal
Palace vs Tottenham,

Leicester vs Stoke,
Man Utd
Vs Southampton

, Sunderland
Vs  Bournemouth,
Watford vs
Newcastle,
West Brom vs Aston Villa

Man City vsWest Ham United.

Jumapili ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo
miwili ambapo Everton  vs Swanseacity
na Arsenal watakuwa nyumbani
Emirate dhidi ya Chelsea (The blues).

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system