klabu ya Real Madrid ya Hispania
ikiwa na kocha wake mpya Zinedine Zidane
katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu
Hispania chini ya kocha huyo, imeibuka na
ushindi wa jumla ya goli 5-0 dhidi ya Deportivo
La Coruna katika uwanja wao wa nyumbani
Santiago Bernabeu .
Real Madrid wakiwa na kocha wao huyo mpya,
walionekana kujitahidi kucheza mchezo wa
kuvutia na kufanikiwa kuvuna point tatu muhimu
kwa magoli ya Karim Benzema dakika ya 15, 90
na kufuatiwa na hat-trick ya Gareth Bale kwa
kufunga goli tatu dakika ya 23, 49 na 63. Huu ni
ushindi ambao tunaweza sema umemkaribisha
Zidane Santiago Bernabeu .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment