Comments


//////...............Jamaa akutwa na nyama ya mbwa..........................

Jamesi Christopher wa makandana kijiji cha Kigugu akutwa akiandaa nyama ya Mbwa kwa ajili ya supu na nyama choma  kama anavyo onekana kwenye picha hapo chini, akamatwa akiandaa msosi huwo tayari kwenda kuuza nyama hiyo  vilabuni Makandana Tukuyu.





Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system