November 13 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa mgeni wa timu ya taifa ya Zimbabwe Warriors katika uwanja wa Zimbabwe National Sports, Zimbabwe, katika mchezo huo Tanzania ilipoteza kwa goli 3-0, magoli yakifungwa na Knowledge Musona dakika ya 9, Mathew Rusikedakika ya 54na Nyasha Mushekwidakika ya 57.
0 comments:
Post a Comment