Comments


ARSENAL YAMKODOLEA MACHO CHRIS SMALLING

Image result for SMALLING
Kwenye habari ambayo ambayo watu wengi wanaweza kuona kama ni kitu ambacho inawezekana isitokee, lakini tetesi za kutoka za usajili ni kwamba Arsenal wanaweza kutoa ofa ya kumsajili mchezaji wa Manchester United Chris Smalling.

Ikumbukwe kwamba Wenger aliwai kutaka kumsajili mchezaji huyu kabla hajaenda Manchester united. Mwaka 2010 Arsenal walikua na nafasi ya kumpata mchezaji huyu kutoka Fulham kabla ya pund milioni 10 za Manchester kukubalika.

Hadi sasa hii ni moja ya habari ambayo inakaa sana kwenye vichwa vya habari kuona kama kweli itawezekana kuona Smalling anahamia Arsenal. Jose Mourihno kocha ambae ni bingwa mchezo wa style ya kulinda lango lake, sio rahisi kumruhusu mchezaji huyu kuondoka lakini chochote kinaweza kutokea.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system