Comments


TYSON FURY HATARINI KUPOTEZA LESENI YA NGUMI...

Bingwa wa ngumi uzani mzito wa duniani Tyson Fury anaweza kuingia matatani kwa kupokonywa leseni baada ya kukubali kuwa anatumia dawa za cocaine ambazo zimekatazwa michezoni.

Bondia huyo amekiri kutumia dawa hizo kwa ajili ya kupunguza mawazo. Kutokana na kitendo hicho bodi ya ngumi inatarajia kukutana wiki ijayo kwa ajili ya kujadili suala la Fury, kwa mujibu wa moja wa viongozi wa Britishi Boxing Board of Control, Robert Smith amedai kuwa kuna uwezekano mkubwa bondia huyo akapokonywa leseni yake.

“We deal with the licence, so in theory, if we were to suspend him they would have no choice but to strip him because he can’t defend them, can he? You can’t just take a man’s licence away without taking the proper procedures, if we decide that’s the right thing to do.”

Hata hivyo wiki hii bondia huyo ambaye anamiliki mataji mawili ya WBA na WBO aliandika ujumbe wa kutangaza kustaafu kwenye mtandao wake wa Twitter uliosomeka, “Boxing is the saddest thing I ever took part in, all a pile of shit, I’m the greatest & I’m also retired, so go suck a dick, happy days.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system