Ni jambo la kheri kujua ni kiasi gani Watanzania wanazichukua headlines kwenye Television za kimataifa ambazo miaka kadhaa iliyopita zilikua zikicheza tu kwa sana video za wasanii wa Nigeria na wasanii wa Afrika Kusini, sasa nimekusogezea video za watanzania zilizochezwa kwenye TV hizi kuanzia asubuhi mpaka usiku March 30 2016.
Sio kila Mtanzania anaweza kutazama TV hizi ambazo ziko kwenye ving’amuzi vya kulipia ila usihofie chochote kama TV haionyeshi hizi channel, kazi ya millardayo.com ni kuhakikisha hakuna kinachokupita kutokea pande zot
e
e
0 comments:
Post a Comment