March 4 2016 moja ya tukio lililokusanya umati wa watu ni hii ya ghara la kuhifadhia rangi kwenye kiwanda cha Sadoline kilichopo maeneo ya tazara Dar es salaam, baada ya kuungua moto ambao bado haujafahamika mpaka sasa nini chanzo chake. Kwa mujibu wa mkaguzi msaidizi wa jeshi la zima moto wilaya ya Kinondoni adam hamisi ngao amesema moto huo ulianza kuwaka muda wa saa moja za usiku .
Taarifa za ndani zinaarifu kuwa hakuna mtu yeyote aliye poteza maisha katika tukio hilo.
.FULU VIDEO AJALI YA MOTO KIWANDA CHA RANGI
Picha zote kwa hisani ya miladi ayo
.FULU VIDEO AJALI YA MOTO KIWANDA CHA RANGI
Picha zote kwa hisani ya miladi ayo
0 comments:
Post a Comment