Halmashauri ya wilaya ya Mtwara imeliomba
shirika la maendeleo ya petroli TPDC
linalosimamia mradi wa gesi nchini, kuisaidia
katika uboreshaji wa huduma za jamii
inayozunguka mradi huo.
Ombi hilo limetolewa na madiwani wa
halmashauri ya wilaya ya Mtwara wakati
wakitembelea kiwanda cha kuchakata gesi asilia
kilichopo madimba ndani ya halmashauri hiyo
ambapo wamesema ili kuweka uhusiano mzuri
baina ya wananchi na mradi wa gesi,shirika
linapaswa kusaidia jamii ili itambue umuhimu
wa...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment